Mbolea hii ni sehemu za viumbe (mabaki ya mimea na wanyama) ambayo imefanyika kuoza kwa muda mrefu kwa ajili ya kusazwa na viumbe wadogo sana. Sehemu za vitu kama matawi, matunda na mabaki ya mboga hutengeneza mbolea ya simadi. Matokeo ya kusazwa huku ni ya rangi ya hudhurungi, tifutifu na hunukia.
DownloadCollections | |
Issue Date | 2002 |
Format | Fact Sheet |
Rights Holders | HDRA, Garden Organic |