1
Jinsi ya Kutengeneza Kifuniko Cha Uso Kwa Urahisi
Wafugaji nyuki kutoka Kisoro, Uganda wamejitengenezea Vifuniko vya uso wenyewe
Picha za ziada zimetolewa na Dan Ngirabakuzi
Nakala ya Ufugaji wa Nyuki 1: Jinsi ya Kutengeneza Kifuniko Cha Uso Kwa Urahisi Maisha ya Nyuki (© Author Pam Gregory, who offers this as her gift to beekeepers in developing countries)
2
JINSI YA KUTENGENEZA KIFUNIKO CHA USO
Ni rahisi kutengeneza kifuniko cha uso ili kukinga uso na kichwa kutokana na mishale ya nyuki. Kifuniko cha uso iliyotengenezwa kutokana na gunia ya unga wa mahindi ni ngumu na si ghali.
Dan Ngirabakuzi na Robert Kajobe
Kata gunia mara mbili kwa upande wake wa urefu, kisha ukate kila upande mara tatu. Kila kipande kati ya zile tatu zitatengeneza sehemu moja ya kofia ya kifuniko cha uso.
Kuna uwezo wa kutengeneza vifuniko sita vya uso kutoka kwa gunia moja ya unga wa mahindi ukikatwa kwa uangalifu.
Nakala ya Ufugaji wa Nyuki 1: Jinsi ya Kutengeneza Kifuniko Cha Uso Kwa Urahisi Maisha ya Nyuki (© Author Pam Gregory, who offers this as her gift to beekeepers in developing countries)
3
Kifaa hiki huraruka kwa haraka kwa hivyo, katika kila mwisho wake lazima ikunjwe ili kuzuia kuharibika.
Tambua sehemu zilizo tokana
Shona kila kipande ili kutengeneza kona.
Kisha wavu huwekwa ndani. Wavu wa mbu inafaa zaidi.
Nakala ya Ufugaji wa Nyuki 1: Jinsi ya Kutengeneza Kifuniko Cha Uso Kwa Urahisi Maisha ya Nyuki (© Author Pam Gregory, who offers this as her gift to beekeepers in developing countries)
4
Lazima ifanane hivi.
Ongeza mraba wa kifaa isiyo ghali kisha ushone mbele na nyuma ya kofia ili kukinga kifua na mgongo. Ongeza kamba kidogo ili kufunga pande zote pamoja.
Kifuniko cha uso kilichotayari
Wakati unavalia tayari kwa uvunaji wa asali ya nyuki, kifuniko cha uso lazima ivaliwe kwanza kisha nguo nzito itakayo shikilia vizuri. Kama hauna sare ya kuvuna asali, valia koti juu ya mavazi mengine ili kukamilisha mavazi.
Nakala ya Ufugaji wa Nyuki 1: Jinsi ya Kutengeneza Kifuniko Cha Uso Kwa Urahisi Maisha ya Nyuki (© Author Pam Gregory, who offers this as her gift to beekeepers in developing countries)
Post a Comment